TECNO tunakukaribisha wewe mteja wetu kutoka nchi nzima
katika msimu wa sikukuu na ofa kabambe zinazowapa fursa ya kuweza kufurahia
msimu huu kwa kushinda zawadi mbalimbali kupitia maduka yetu ya TECNO katika
mikoa ya Arusha, Mwanza na Dar es
salaam.
Wateja watakao nunua Phantom 8, Camon Cx & Cx Air, TECNO
spark, Spark + ,wataingia/utaingia kwenye bahati nasibu na kujishindia Tiketi
ya basi kwenda mikoa mbalimbali kuungana na familia zao/yako bila kusahau
kuponi maalum za chakula ,tiketi za sinema kwa mkoa wa Dar es salaam, saa za kuvutia za mkononi na zawadi nyinginezo
kemkem.
Wateja watapata punguzo la bei
Tsh 20,000/= kwa atakae nunua simu janja (Smartphone) mbili kwaajili ya wapendwa
wao, moja katika ya hizo simu mbili ndiyo itakayo pata punguzo la bei la Tsh 20,000/=.
Pia kutakua na bahati nasibu ya zawadi zinginezo mbalimbali
Ofa hizi kabambe zinapatikana
maduka ya TECNO mkoani Mwanza, Arusha na
Dar es salaam na kutumika kuanzia tarehe 15/12/2017 mpaka 15/1/2018
No comments:
Post a Comment