Sunday, February 18, 2018

CHADEMA WAYAKATAA RASMI MATOKEO YA UCHAGUZI WA MARUDIO JIMBO LA SIHA NA KINONDONI

Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeyakaa rasmi matokeo ya uchaguzi wa marudio uliofanyika siku ya jana jumamosi tarehe 17 mwezi huu wa februari na kusema kuwa uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vingi ambavyo ni kinyume cha sheria.
Picha inayohusiana Waraka huo umetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho ndugu Vincent Mashinji wa kutokubaliana na matokeo ya uchaguzi huo wa marudio soma hapa chini waraka wake kujua mengi zaidi.

No comments: