Unaikumbuka Camon CX na CX
Air? Simu ambazo naamini ziliongoza kwa mauzo na ubora kutoka
TECNO kwa mwaka 2017, bila ubishi.TECNO Camon CM ni muendelezo wa familia ya
simu za Camon kutoka TECNO
Fahamu uwezo wake,muonekano wake n.k katika uchambuzi huu
MUONEKANO
Ikiwa na wigo mpana/kioo
enea chenye uwiano wa 18:9 Camon CM ina maboresho makubwa ukilinganisha na CX
na CX Air, ni nyembamba Ukiishika
utakubali kuwa inastahili kuwa kati ya simu janja nyembamba zaidi duniani.
KAMERA
TECNO –Camon CM inakuja na
13 Megapixel kamera ya mbele na nyuma
ikiwana flashi nne zinazoshabihi mwanga hafifu kwa picha zenye ubora wa HD
UFANISI
Camon CM inakuja na 2GB
RAM+16GB ROM uwezo wa kutunza kumbukumbu
UKAAJI WA CHAJI [BETRI]
Ikiwa na 3000mAh inahifadhi
chaji kwa muda mrefu zaidi ikimpa fursa mtumiaji kusikiliza ama kuperuzi
mtandao pasipo kuhofia kuisha chaji
Kwa maelezo zaidi tembelea
tovuti ya http//www.tecno-mobile.com
No comments:
Post a Comment