Wednesday, February 28, 2018

PICHA - ANGALIA WALICHOKIFANYA ACT WAZALENDO MKOANI SHINYANGA

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza na viongozi na wanachama wa chama hicho mkoani Shinyanga jana kwenye kikao cha ndani .

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwaapisha wanachama wapya wa Chama hicho kwa kusoma ahadi za mwanachama wa Chama hicho jana mkoani Shinyanga mara baada ya kumaliza kikao cha ndani na viongozi wa chama hicho. 

No comments: