Sunday, March 4, 2018

FINCA MICROFINANCE BENKI YASHEREHEKEA MIAKA 20 TANGU IANZISHWE NCHINI

Viongozi wa Benki ya FINCA pamoja na viongozi wa serekali wakijumuika katika ghafla ya kushrekea miaka 20 ya FINCA Tanzania.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya FINCA, Mike Gama-Lobo,akifwatiwa na 
Afisa Mtendaji Mkuu, FINCA Tanzania, Issa Ngewgwe,
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shabaan.
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa makapuni ya FINCA Duniani, Andree Simon.
Naibu Gavana wa BoT, Dr. Bernard Kibesse,pamoja na 
Mchumi Mwandamizi, Wizara ya fedha na Mipango, Deonisia Mjema na
Mjumbe was Bodi ya FINCA, Tanzania, Kelvin Twisa.
Afisa Mtentaji wa FINCA Tanzania Issa Ngewgwe akionyesha tuzo aliopewa na uongozi wa FINCA duniani kuhitimisha miaka 20 ya FINCA Tanzania.

Kati ya wateja wa Benki ya FINCA (kulia)Perpetua John akipokea Tuzo ya ufanisi kutoka kwa Afisa Mkuu wa utawala wa  Benki ya FINCA Tanzania, Mary Magoire Maridadi, katika sherehe ya kuhitimisha miaka ishirini ya FINCA Tanzania.

Kati ya wateja wa Benki ya FINCA Tanzania, tawi la Arusha, Jimmy Ngowi  akipongezwa na  Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa makapuni ya FINCA Duniani, Andree Simon baada ya kopokea Tuzo ya ufanisi kutoka kwa uongozi wa Benki ya FINCA katika sherehe ya kuhitimisha miaka ishirini ya FINCA Tanzania.

Naibu Gavana wa BoT, Dr. Bernard Kibesse.

Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa makapuni ya FINCA Duniani, Andree Simon

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shabaan.

Afisa Mtendaji Mkuu, FINCA Tanzania, Issa Ngewgwe.

No comments: