Tume ya vyuo vikuu ( TCU) imetoa tamko la kusimamishwa kwa chuo kilichoanzishwa huko kimara njia ya kwenda Bonyokwa kinachojiita TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY . Tume hiyo imesema haijatoa hithibati kwa chuo hicho hivyo kutakiwa kufungwa na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari ikiambatana na kutoa mabango yanayotangaza chuo hicho.Picha:Zainab Chondo
No comments:
Post a Comment