Mfungaji wa mabao mawili ya Liverpool, Daniel Sturridge akimtoka mchezaji wa Newcastle, Jonas Gutierrez
Jordan Henderson akishangilia bao lake la kwanza
Daniel akishangilia bao
MSHAMBULIAJI Daniel Sturridge leo amevaa viatu vya Luis Suarez na kuendeleza vyema kampeni za Liverpool ikiifumua Newcastle ya kocha Alan Pardew mabao 6-0
Mshambuliaji huyo, ambaye alifiungia Chelsea kwenye Uwanja huo wa St James Park msimu uliopita, leo amefunga mabao mawili katika ushindi huo dakika za 50 na 64. Mabao mengine yalifungwa na Agger dakika ya tatu na Henderson dakika ya 17 na 76. Chanzo: Binzubeiry
No comments:
Post a Comment