[caption id="attachment_1164" align="aligncenter" width="477"] KATIKA GETI LA KUINGILIA KATIKA JENGO HILO HALI ILIKUWA MBAYA HUWEZI KUINGIA HADI UWE NA USAFIRI WAKO[/caption]
[caption id="attachment_1163" align="aligncenter" width="477"] DEREVA BODABOBA AKIPITA KATIKATI YA YA MAJI MENGI YALIYOTUWAMA NJE YA JENGO LA SAYANSI KIJITONYAMA[/caption]
[caption id="attachment_1162" align="aligncenter" width="477"] MUONEKANO MZIMA WA NJE YA JENGO HILO.[/caption]
[caption id="attachment_1161" align="aligncenter" width="477"] HATARI SANA KIJITONYAMA WAHUSIKA INABIDIWAONE HILI[/caption]
[caption id="attachment_1166" align="aligncenter" width="477"] MAGARI YAKIPITA KWENYE BAHARI HIYO ISIYOKUWA RASMI KIJITONYAMA[/caption]
[caption id="attachment_1168" align="aligncenter" width="477"] HABARI NDO HII[/caption]
[caption id="attachment_1169" align="aligncenter" width="477"] KIBANDA CHA MUUZA MAGAZETI KIKIWA KINAELEA JUU YA MAJI MENGI YALIYOKUWA MAENEO HAYO YA KIJITONYAMA MAARUFU KAMA SAYANSI[/caption]
[caption id="attachment_1160" align="aligncenter" width="477"] KARIBU NA NJIA YA KUELEKEA JENGO LA SAYANSI NA TECHNOLOJIA KUKIWA KUMEFURIKA MAJI CHAA AJABU HAKUNA HATA MFEREJI MMOJA ULIOKUWEPO WA KUPITISHA MAJI[/caption]
[caption id="attachment_1160" align="aligncenter" width="477"] KARIBU NA NJIA YA KUELEKEA JENGO LA SAYANSI NA TECHNOLOJIA KUKIWA KUMEFURIKA MAJI CHAA AJABU HAKUNA HATA MFEREJI MMOJA ULIOKUWEPO WA KUPITISHA MAJI[/caption]
No comments:
Post a Comment