KAMANDA WA POLISI WA KANDA MAALUM YA DAR ES SALLAAM SULEMAN KOVA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MICHEZO PAMOJA NA WAANDISHI KUHUSU MAANDALIZI YA KIULINJI KATIKA MECHI YA SIMBA NA YANGA. |
Kwa mara ya pili katika historia ya soka la tanzania jeshi la polisi limetangaza rasmi kutumia kamera za cctv katika mechi ya watani wa jadi kati ya simba na yanga itakayochezwa katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam siku ya jumamosi wiki hii
kamanda wa polisi kanda maalum sulemani kova amesema wameamua kufanya hivyo ili kuzuia hali yoyote ya uhalifu ambayo inaweza kutokea siku hiyo
kamanda kova amewatoa wasiwasi watanzania na kuwataka kutokuogopa kujitokeza katika mechi hiyo kwa kuhofia usalama wao kwani wamejipamga kisawasawa,
mara ya kwanza kamera hizo zilitumika mwaka 2007.
No comments:
Post a Comment