KAMANDA WA POLISI MKOA WA KINONDONO CHARLES KENYELA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM |
Jeshi la polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni kati ya desember 2012 na may 2013 limefanikiwa kuwakamata watu 716 wanaojihusisha na na biashara ya kuuza miili yao katika jiji la dar es salaam
akizungumza na waandishi wa habari kenyel mbaye ndie kamanda wa polisi kinondoni amesema kuwa kati ya watu hao kuna wanawake 678,na wanaume 38 .
aidha baadhi ya watuhumiwa waliokamatwa wa kiume amesema wengine ni wateja wa wanawake hao na wengine wanajihusisha na tabia ya ushoga ambao ni kinyume na sheria.
baadhi ya maeneo ambayo yalifanyiwa msako na kukamatwa kwa watu hao ni pamoja na kinondonimakaburini,maisha club,coco beach,barabara ya tunisia,travetain,tandale uwanja wa fisi,ambiance club,shekilango na mwananyamala,AMESEMA KATI YA HAO WALIOKAMATWA WAPO PIA WALE WANAOFANYA MCHEZO WA KANGA MOKO AMBAO NI MAARUFU SANA JIJINI.
No comments:
Post a Comment