Thursday, May 30, 2013

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE CHEKI SHULE KUMI BORA NA KUMI MBOVU TANZANIA

WAZIRI WA ELIMU DK SHUKURU KAWAMBWA AKITANGAZA MATOKEO MAPYA YA KIDATO CHA NNE LEO JIJINI DAR ES SALAAM
                 SHULE KUMI BORA ZA ZENYE WATAHINIWA ZAIDI YA 40

 Shule zifuatazo zimepangwa ya kwanaza hadi ya kumi katika matokea hayo
1-ST FRANCIS GIRLS SEC YA MBEYA
2-MARIAN BOYS YA PWANI
3-FEZA BOYS YA DAR ES SALAAM
4-MARIAN GIRLS PWANI
5-SANOSA SEC YA DAR ES SALAAM
5-FEZA GIRLS YA DAR ES SALAAM
7-ROSMIN SEC YA TANGA
8-ANWARITE GIRLS SEC YA KILIMANJARO
9-ST MARRIES MAZINDE JUU SEC YA TANGA
10-JUDE MUSHONO SEC YA ARUSHA

                Shule kumi za mwisho zenye watahibiwa zaidi ya 40
1-MIBUYUNI SEC YA LINDI
2-MAMNDIMKONGO SEC YA PWANI
3-CHITEKETE SEC YA MTWARA
4-KIKALE SEC YA PWANI
5-ZIRAI SEC YA TANGA
6-MATANDA SEC YA LINDI
7 –KWAMNDOLWA SEC YA TANGA
8-CHUNO SEC YA MTWARA
9-MBEMBALEO SEC YA MTWARA
10-MAENDELEO SEC YA DAR ES SALAAM

           Katika matokeo hayo ambayo yametangwazwa leo na waziri wa Elimu mh shukuru kawambwa amesema katika wanafunzi waliofanya mtihani huo ni 462,442 ambapo asilimia 56 ya wanafunzi hao bado wamepata daraja sifuri

            MSOMAJI WA MTANDAO HUU TUPO KATIKA MAZUNGUMZO NA BARAZA WATURUHUSU KUWEKA MATOKEO YOTE HAPA ILI MJIONEE ASANTENI SANA


No comments: