RAISI WA TANZANIA MH JAKAYA KIKWEWTE ANATARAJIWA KUWA FEFA KATIKA MCHEZO UNAOTARAJIWA KUCHEZWA JUMAPILI KATI YA WABUNGE WA YANGA NA WABUNGE WA SIMBA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI LINALOANDALIWA NA KAMPUNI YA GLOBO PUBLISHER
KATIKA TAARIFA AMBAYO IMETOKA NI KUWA RAISI AMEKUBALI KUINGIA UWANJANI SIKU HIYO NA KUWA REFA KATIKA MCHEZO HUO WA JUMAPILI.KATIKA MCHEZO HUO UTAWAJUMUISHA WABUNGE WA PANDE ZOTE ZA VYAMA NA WATAKUWA WAMEJIGAWANYA KWA SIMBA NA YANGA
JAMBO HILO LINAONEKANA KUWA KIVUTIO KIKUBWA SANA KATIKA TAMASHA HILO
MICHEZO MINGONE KATKA TAMASHA HILO NI MCHEZO WA NGUMI AMBAO MBUNGE ZITO KABWA ATAPIGANA NA RAY KIGOSI HUKU ESTER BULAYA NA JACK WOLPER WAKIPIGANA NA HALIMA MDEE NA ANT EZEKIELI WAKIMALIZANA KWA KUPIGANA
No comments:
Post a Comment