Tuesday, July 23, 2013

TAPELI SUGU AKAMATWA DAR HUTUMIA MAJINA YA VIONGOZI KUTAPELI,MAMA LWAKATARE PIA ALITUMIKA LAKIRI KUWATAPELI WACHEZAJI MBALMBALI WA MPIRA TANZANIA



         JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM LIMEFANIKIWA KUKAMATA TAPELI SUGU NA MAARUFU JIJINI DAR ES SALAAM AMBAYE AMEKUWA AKUTUMIA MAJINA YA WATU MAARUFU KUWATAPELI WATU


NAIBU KAMISHNA KANDA MAALUM WA JESHI LA POLISI BW ALLY MLEGE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM AMESEMA KUWA JESHI HILO MNAMO TAREHE 3 MWEZI WA SABA MWAKA HUU JESHI HILO LIMEFANIKIWA KUMKAMATA TAPELI HUYO AMBAYE ANAFAHAMIKA KWA JINA LA MFAUME OMARI MAARUFU KWA JINA LA MAU MIAKA 29 MKAZI WA MAGOMENI KAGERA

     AMESEMA KUWA TAPELI HUYO HUWA ANATUMIA MAJINA YA VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI NA WADINI NA WATU MAARUFU KUWATAPELI WATANZNAIA,AMBAPO POLISI HIVI KARIBUNI WAMEMFWATILIA KWA UKARIBU NA KUMTIA MIKONONO

          MOJA KATI YA MAJINA AMBAYO YAMEWAHI KUTUMIKA NI JINA LA MCHUNGAJI MAMA GETRUDE LWAKATARE NA NDIE AMBAYE AMERIPOTI POLISI BAADA YA KUSHTUKIA MCHEZO HUO WA TAPELI HUYO KUTAPELI WAATU KWA KUTUMIA JINA LAKE.TAPELI HUYO AMEKUWA AKITUMIA NAMBA ZA SIMU MBILI TOFAUTI HUKU AKIWA AMEZISAJILI KWA MAJINA TOFAUTI AMBAPO  YA KWANZA NI 0659 736454 IKIWA IMESAJILIWA KWA JINA LA MFAUME SAIDI OMARI NA NYINGINE NI 0659 164744 AKIWA AMESAJILI KWA JINA LA ALEX MTEGA

            TAPELI HUYO BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI AMEKIRI WAZI KUWA AMEKUWA AKIFANYA UTAPELI HUO NA KUWATAPELI WATU WENGI WAKIWEMO WACHEZAJI MAARUFU WA MPIRA KWA KUTUMIA MAJINA YA WATU MAARUFU,YUPO MAHAKAMANI NA ATAPANDISHWA KIZIMBANI UPELELEZI MKIKAMILIKA
JITIHADA ZA BLOG HII KUMTAFUTA MCHUNGAJI LWAKATARE AZUNGUMZIE HILI ZINAENDELEA

No comments: