Monday, August 26, 2013

KUELEKEA MCHEZO WA CHELSEA NA MAN U SOMA TAMBO ZA MAKOCHA


              KOCHA Jose Mourinho amemmuambia David Moyes: Sikumvurugia Wayne Rooney, umefanya wewe.
Mourinho anapeleka timu yake kuvaana na Manchester United leo na anataka kumvurua Moyes kuelekea mchezo huo wa kwanza wa ushindani kwake tangu arithi mikoba ya Sir Alex Ferguson.
Chelsea jana imethibitisha kumsaini Willian, na Samuel Eto’o yupo kwenye orodha pia kutoka Anzhi Makhachkala, lakini wameendelea komalia pia na saini ya Rooney na wanajiandaa kurejea na ofa iliyoboreshwa ya Pauni Milioni 30.
Blame game: Jose Mourinho claims David Moyes unsettled Wayne Rooney (right)
          Mchezo wa lawama: Jose Mourinho amemsukumia lawama David Moyes kumvuruga Wayne Rooney (kulia)
Man in the middle: Mourinho would love to prise Rooney away from Manchester United
           Mtu wa kati: Mourinho angependa kumnunua Rooney kutoka Manchester United
Second choice: Moyes told Wayne Rooney he was behind Robin van Persie in the pecking order
  Chaguo la pili: Moyes amemuambia Wayne Rooney ni chaguo la pili baada ya Robin van Persie 

           Moyes ameendelea kusistiza Rooney hauzwi na anaweza kucheza usiku wa leo, ingawa Mourinho anaamini bado anaweza kumnasa Rooney.
"Kwa nini?" alisema Mourinho, wakati alipoulizwa kama anatarajia mapoekzi mazuri kutoka kwa mashabiki wa United. "Wako dhidi yangu? Lakini sikusema utakuwa chaguo la pili kwangu.
"Tunajaribu kupata mchezaji mzuri ambaye Kocha atakuwa chaguo la pili kwake. Hatumfuati Van Persie. Hawatakiwi kuwa dhidi yangu. Ikiwa nilisema Ramires ni chaguo la pili kwangu na anacheza wakati Lampard amechoka, au majeruhi na ikiwa atatokea mtu kumchukua Ramires, hakuna atakayeshangaa,". Alipoulizwa kama lilikuwa kosa la Moyes, Mourinho alisema: "Ndio.’
Ilikuwa katikati ya Julai wakati Moyes aliposema: "Kwa ujumla fikra zangu juu ya Wayne ni, ni kwa sababu yeyote Robin van Persie ni majeruhi, tutamuhitaji,"alisema.
Hii ni kauli ambayo iliikera kambi ya Rooney, ambayo ilisema mchezaji huyo amekasirika na amechananyikiwa.
Incoming: Talks have started over a deal for Samuel Eto'o who is Mourinho's Plan B option
Anakuja: Mazungumzo yameanza juu ya Samuel Eto'o ambaye ni mpango B wa Mourinho

No comments: