Jumla ya wahamiaji haramu 21192 kutoka mikoa ya kagera rukwa,na kigoma wamerejea katika nchi zao baada ya agizo la raisi jk kuwataka kurfanya hivyo Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam msemaji wa idara ya uhamiaji ABASI MUSA ILOVIA amesema kuwa wahamiaji hao walikuwa wanatoka katika nchi za BURUNDI,DRC,ZAMBIA,PAMOJA NA RWANDA,AMBAO AMESEMA KUWA WAMEONDOKA KWA HIARI
Aidha amesema kuwa bado zoezi hilo la kuaondoa wahamiaji haramu nchini linaendelea na kuwataka ambao bado hawataki kutii agizo hilo kufanya hivyo mara moja kabla zoezi la kuwaondoa kwa nguvu halijaanza
No comments:
Post a Comment