AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIBU MTENDAJI WA BARAZA HILO BW KAJUBI MUKAJANGA AMESEMA KUWA KUNA BAADHI YA MAGAZETI NA VYOMBO VINGINE VIMEKUWA VIKIPOTPSHA MATAMKO MBALI MBALI YANAYOTOLEWA NA VIONGOZI WA NCHI HIZO MBILI NA KUONYESHA KAMA KUNA UHASAMA MKUBWA KATI YAO JAMBO AMBALO AMESEMA KUWA SIO KWELI
AMESEMA KUWA TAMKO LA RAISI LA KUWAONDOA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI SIO KUTOKA RWANDA TU KAMA BAADHI WANAVYOANDIKA BALI LINAHUSU WATU WOTE AMBAO WAMEHAMIA TANZANIA BILA KUBALI KUTOKA NCHI YOYOTE
AMESEMA KUWA WAANDISHI NA WAHARIRI LAZIMA WATAFAKARI KILE WANACHOANDIKA ILI KUEPUSHA MATATIZO BAADAE.
BW KAJUBI MUKAJANGA AKIZUNGUMZA NA WANAHARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM |
No comments:
Post a Comment