NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA HUZUNI KUBWA |
DADA WA MAREHEMU ERASTO MSUYA AKITOA NENO LA SHUKRANI KATIKA IBADA YA KUMWAGA BILIONEA HUYO NYUMBANI KWAKE SAKINA ARUSHA LEO |
INAAMINIKA KUWA GENEZA HILI LINATUMIA REMOTE MAALUMU YA KULIFUNGUA NA KULIFUNGA |
NDUGU WA MAREHEMU ERASTO MSUYA WAKIWA KATIKA MAZISHI HAYO |
MCHUNGAJI MWANGA AKITOA NENO KATIKA IBADA HIYO LEO |
WAOMBOLEZAJI WAKIWA WANATOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO LEO |
No comments:
Post a Comment