jeshi la polisi kanda maalum ya dar es salaam limeendelea kutoa shukrani kwa watanzania ambao wanatembea huku wakiwa na idadi kubwa ya fedha kwani ni hatari kwa usalama wa pesa hizo na kwao wenyewe
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam kamishna SULEMAN KOVA amesema kuwa lazima watnzania wabadilike na kuiga kutoka katika nchi za wenzetru ambao ni nadra sana kukuta mtu anatembea na fedha mfukoni na badala yake wanatumia kadi maalum katika kufanya manunuzi yoyote yaleAamesema kwa sasa tanzania kuna baadhi ya njia salama zaidi ambazo zinaweza kutumika kama vile kutumia mitandao ya simu ambayo sasa imekuwa ikitoa huduma za kibenk.utafiti ambao polisi wameufanya ni kuwa watu wengi huvamiwa baada ya kutoka benki wakiwa na hela nyingi
No comments:
Post a Comment