CHAMA CHA MAPINDUZI CCM SASA HIVI HUKO DODOMA KIMEMFUKUZA UANACHAMA WA CHAMA HICHO MJUMBE WAKE KUTOKA KIEMBE SEMAKI MANSOOR YUSUFU HEMED BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM
BADO SABABU HALISI ZA MAAMUZI HAYO HAZIJAJULIKANA ILA TAARIFA ZINASEMA KUWA AMETIMULIWA KUTOKANA NA SABABU ZA KUSHINDWA KUSIMAMIA ILANI YA CHAMA HICHO NA KUSHINDWA MAJUKUMU YAKE
No comments:
Post a Comment