MGENI RASMI KATIKA MDAHALO HUO MH SOSPETER MUHONGO |
KATIKA MKUTANO HUO AMBAO MGENI RASMI NI WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MH SOSPITER MUHONGO VIJANA WANAENDELEA KUTOA MAONI YAO AMBAO SWALA KUBWA SANA LINALOUTEKA MDAHALO HUO KWA SASA NI SWALA LA MUUNGANO AMBAO UMEKUWA UKUZUA GUMZO SANA KATIKA MIJADALA YA KUIJADILI KATIBA HIYO
KAMA ILIVYO MSIMAMO WA CHAMA HICHO AMBAO WAMEKUWA WAKIPINGA MUUNGANO WA SERIKALI TATU KAMA ILIVYOPENDEKEZWA NA TUME YA KATIBA NA KUIUNGA MKONO SERIKALI MBILI AMBAPO VIJANA WENGI WANAONEKANA KUUNGA MKONO SWALA HILO LA SERIKALI MBILI
MGENI RASMI AMESEMA KUWA SWALA LA RASILIMALI ZA TAIFA KAMA GESI ILIYOPATIKANA NCHINI NA NYINGINE LAZIMA ZI[PEWE KIPAUMBELE KATIKA KATIBA MPYA
VIJANA WA CCM WAKIWA MAKINI KATIKA MDAHALO HUO |
No comments:
Post a Comment