Monday, August 5, 2013

BARAZA LA MITIHANI LATOA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA KUWA WALIMU WOTE WAMEFELI MITIHANI YAO

NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA (NECTA) DK CHARLES MSONDE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM .

BARAZA LA MITIHANI TANZANIA NACTE LIMEKANISHA KWA VIKALI SANA TAAEIFA ZILIZOTOLEWA NA GAZETI MOJA LA HAPA TANZANIA KUWA KIWANGO CHA UFAULU WA WALIMU NCHINI KUMESHUKA NA KWAMBA WOTE WANATAKIWA KURUDIA MTIHANI HUO ILI WAWEZE KUFAULU

AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA HILO AMESEMA KUWA TAARIFA HIZO HAZINA UKWELI WOWOTE NA KWA MWAKA HUU WALIMU WAMEFAULU ZAIDI UKILINGANISHA NA UFAULU WA MWAKA JANA

AMESEMA KUWA JAPO WAPO AMBAO WANATAKIWA KURUDIA MITIHANI HIYO ILA SIO KWELI KWAMBA WOTE WANARUDIA KWA KUSHINDWA KUFAULU  BALI NI KAWAIDA KUWA LAZIMA WAPO WALE WANAOFELI NA NDIO HAO WANATAKIWA KURIDIA MTIHANI HUO


No comments: