AJALI iliyotokea eneo ya Nyamwage mkoa wa LIndi
wakati bali basi la abiria la lililokuwa liktokea Dar Es Salaam kuel ekea Lindi limepinduka na kusababisha kifo cha mtu mmoja |
Monday, September 30, 2013
kwa ufupi.BASI LA 5 ALLIANCE LAPATA AJALI MBAYA,MMOJA AFA
POLISI DAR YAZINDUA ULINZI SHIRIKISHI NGAZI YA FAMILIA,KOVA AZUNGUMZA,MATEJA ZAIDI YA MIA WA KARIAKOO SASA NI ULINZI SHIRIKISHI
KAMISHNA KOVA AKIKAGUA GWARIDE LA VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI |
Akizungumza katika uzinduzi huo kamishna KOVA amesema kuwa mikoa mingine lazima iige kampeni hiyo ili kuhakikisha hakuna ukatiki ndani ya familia.
BAADI YA VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI |
KAMANDA WA POLISI WA ILALA MAMA MARIETHA MINANGI AKIMKARIBISHA MGENI RASMI |
BURUDANI NAYO ILIKUWA MAHALI PAKE |
HUYU NI MOJA KATI YA VIJANA ZAIDI YA MIA MOJA WALIOKUWA MATEJA SASA WAMEANZA KUWA ULINZI SHIRIKISHI HAPA AKISALIMIANA NA MEZA KUU |
KOVA AKIWA NA MKUU WA WILAYA YA ILALA MH RGIMBANA NA WENGINE NI WADAU WA POLISI AMBAO LEO NAO WAMECHANGIA PIKIPIKI 12 KWA AJILI YA ASKARI KUFANYIA KAZI ZAO |
AKIWAKABIDHI VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI KUTOKA TARAFA YA KARIAKOO VIFAA AINA YA RUNGU KWA AJILI YA ULINZI WA MALI A WANANCHI |
Saturday, September 28, 2013
Friday, September 27, 2013
MDAHALO KUHUSU BUNGE WAFANYIKA DAR JIONI HII,TUNDU LISU AFUNGUKA
MNADHIMU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI TUNDU LISU AKITOA HOJA KATIKA MDAHALO HUO WA WAZI ULIOMALIZIKA MUDA MFUPI ULIOPITA JIJINI DAR ES SALAAM |
WANANCHI WALIOHUDHURIA MDAHALO HUO |
BAADHI YA WANANCHI NAO WALIPATA NAFASI YA KUCHANGIA HUKU WENGI WAKIONYESHA KUUNGA MKONO HOJA ZA KAMBI ZA UPINZANI ZA KUTAKA MAANDAMANO YA KUMTYAKA RAISI ASISAINI MSWADA WA MABADILIKO YA KATIBA |
HUYU NI ESTER WASIRA AKICHANGIA |
Subscribe to:
Posts (Atom)