Friday, September 27, 2013

MDAHALO KUHUSU BUNGE WAFANYIKA DAR JIONI HII,TUNDU LISU AFUNGUKA

MNADHIMU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI TUNDU LISU AKITOA HOJA KATIKA MDAHALO HUO WA WAZI ULIOMALIZIKA MUDA MFUPI ULIOPITA JIJINI DAR ES SALAAM
           JIONI HII KUMEMALIZIKA MDAHALO WA WAZI ULIOKUWA UNA LENGO LA KUWASIKILIZA WANANCHI NA MAONI YAO JUU YA WANAVYOLIONA BUNGE LA TANZANIA NA JINSI WANAVYOTAKA BUNGE LIJALO JUU YA KATIBA MPYA LIWE.
WANANCHI WALIOHUDHURIA MDAHALO HUO
          AKITOA MADA KATIKA MDAHALO HUO MH TUNDU LISU AMESEMA KUWA LAZIMA BUNGE LIPUNGUZE WATU NA VITI MAALUM  VIONDOLEWE KABISA ILI HAKI IWE INATENDEKA KATIKA BUNGE LA TANZANIA.
BAADHI YA WANANCHI NAO WALIPATA NAFASI YA KUCHANGIA HUKU WENGI WAKIONYESHA KUUNGA MKONO HOJA ZA KAMBI ZA UPINZANI ZA KUTAKA MAANDAMANO YA KUMTYAKA RAISI ASISAINI MSWADA WA MABADILIKO YA KATIBA

HUYU NI ESTER WASIRA AKICHANGIA

No comments: