KAMISHNA KOVA AKIKAGUA GWARIDE LA VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI |
Akizungumza katika uzinduzi huo kamishna KOVA amesema kuwa mikoa mingine lazima iige kampeni hiyo ili kuhakikisha hakuna ukatiki ndani ya familia.
BAADI YA VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI |
KAMANDA WA POLISI WA ILALA MAMA MARIETHA MINANGI AKIMKARIBISHA MGENI RASMI |
BURUDANI NAYO ILIKUWA MAHALI PAKE |
HUYU NI MOJA KATI YA VIJANA ZAIDI YA MIA MOJA WALIOKUWA MATEJA SASA WAMEANZA KUWA ULINZI SHIRIKISHI HAPA AKISALIMIANA NA MEZA KUU |
KOVA AKIWA NA MKUU WA WILAYA YA ILALA MH RGIMBANA NA WENGINE NI WADAU WA POLISI AMBAO LEO NAO WAMECHANGIA PIKIPIKI 12 KWA AJILI YA ASKARI KUFANYIA KAZI ZAO |
AKIWAKABIDHI VIJANA WA ULINZI SHIRIKISHI KUTOKA TARAFA YA KARIAKOO VIFAA AINA YA RUNGU KWA AJILI YA ULINZI WA MALI A WANANCHI |
No comments:
Post a Comment