Thursday, September 19, 2013

MAFUNZO YA JINSIA KATIKA BIASHARA YAENDESHWA DAR

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH GREGORY TEU AKIZUNGUMZA NA WAANDDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

    Naibu waziri wa viwanda na biashara mh GREGORY TEU leo amefungua mafunzo maalumu ya wafanyakazi wa wizara hiyo yanayohusu jinsia katika biashara huku akisisitiza kuwa katika biashara jinsia zote ni sawa.

         Mh TEU amesema kuwa katika mafunzo hayo wafanyakazi hao watapata nafasi ya kujifunza jinsi ya kuendesha biashara kwa kujali jinsia na usawa katika kazi

No comments: