NAOMBA KAMA HUJIAMINI USIFUNGUE HAPA,AJALI MBAYA SANA IMETOKEA SASA HIVI MANZESE MWEMBECHAI,DEREVA BODA BODA AGONGWA ASAGWA NA DALADALA.naomba radhi kwa picha hizi ila ndio ukweli
WANANCHI WAKIANGALIA MWILI WA MAREHEMU
MWILI WA DEREVA BODABODA
AJALI MBAYA SANA LEO IMESHUHUDIWA NA HABARI24 MAENEO YA MANZESE MWEMBECHAI AMBAPO DEREVA BODABODA AMEGONGWA VIBAYA NA KUFARIKI HAPO HAPO NA DALADALA
HII NDIO GARI ILIYOMGONGA DEREVA BODABODA MAENEO YA MAGOMENI MWEMBECHAI MUDA HUU
No comments:
Post a Comment