MAREHEMU NEEMA FAST |
KWA NIABA YA HABARI24 BLOG NA WADAU WOTE WA MWIKA SECONDARY TUNAPENDA KUTOA SALAM ZA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU NEEMA FAST ALIYEKUWA MWANAFUNZI MWENZETU SHULE YA SECONDARY MWIKA MIAKA KADHAA ILIYOPITA.
TUNAAMINI KUWA TULIKUPENDA SANA ILAMUNGU NDIYE AMEKUPENDA ZAIDI NA MUNGU NDIYE MWAMUZI WA MAISHA YETU POPOTE PALE TULIPO,TUNAMTAKIA MAPUMZIKO MEMA HUKO UENDAKO KWANI SAFARI YETU NI MOJA YA MBINGUNI,KUBWA NI KWA SISI KUMWOMBA MUNGU ATUTANGULIE KATIKA MAISHA YETU
KWA MUJIBU WA NDUGU NA RAFIKI WA KARIBU MWILI WA MAREHEMU NEEMA UTAZIKWA KESHO NYUMBANI KWAKE HUKO UPARENI,RAFIKI NA NDUGU MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA WIGI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU HIYO KESHO.
No comments:
Post a Comment