Waziri wa mambo ya nje nchini tanzania mh bernad membe amesema kuwa mkutano uliowakutanisha raisi jk na kagame ulimalizika kwa utulivu huku akigoma kuweka wazi kile ambacho kilizungumzwa.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam mh membe amesema kuwa katika maswala kama hayo lazima wakuu hao wakutane kwa mara ya kwanza na kuambiana ukweli ili ajulikane nani anakosa na ndipo utatuzi uamnze
Amesema kuwa kukichofanywa na viongozi haoo ni mkutano wao wenyewe ambao amesema kuwa itafanyika mikutano mingine mingi kamahiyo ili kusuluhisha mgogoro huo ambao unafukuta baina ya tanzania na rwanda
No comments:
Post a Comment