Friday, September 6, 2013

ALIYEIMBA AZONTO YUPO DAR,AKUTANA NA WANAHABARI

MSANII MAARUFU KUTOKA NCHINIGHANA  FUSE ODG AKIWA NA MTAYARISHAJI WA MUSIC NCHINI TANZANIA HAMMY B WAKATI WALIPOKUTANA NA WANAHABARI KATIKA MAANDALIZI YA SHOW YAO KESHO JIJINI DAR ES SALAAM.PICHA ZAIDI NA HABARI KUHUSU SHOW HII ZITAKUJIA HIVI PUNDE

No comments: