MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM SADICK MECK SADICK AMBAYE NI MWENYEKITI A KAMATI YA MAANDALIZI YA MBIO HIZO ZA UHURU |
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam amesema kuwa dhumuni kubwa la mbio hizo ni kukumbushana watanzania juu ya umuhimu wa kulinda amani na kuitetea pamoja na kudumisha umoja na mshikamano uliopo nchini kwa sasa .
Mbio hizo zinatarajiwa kushirikisha wanariadha mbalimbali kutoka tanzania na nje ya tanzania maarufu pamoja na watu wa kada mbalimbali ambapo zitakuwa za kilometa 21,42,huu kukiwa na kilomita 5 kwa watu maluum kama walemavu
No comments:
Post a Comment