Thursday, October 10, 2013

TANZIA,R.I.P VITUS MLOWE

             KWA NIABA YA UONGOZI MZIMA WA HABARI24 BLOG UNAPENDA KUTOA POLE KWA FAMILIA NZIMA YA MZEE MLOWE KWA KUMPOTEZA KIJANA WAO VITUS MLOWE, JIJINI DAR ES SALAAM,POLE ZA DHATI ZIENDE KWA MDOGO WAKE AMBAYE NI MDAU MKUBWA WA BLOG YETU THOMAS MLOWE ,BILA KUMSAHAU PASIANCE MLOWE, KUTOKA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU PAMOJA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO NCHINI TANZANIA. 

             MUNGU AWAJALIE NGUVU SANA KIPINDI HIKI AMBACHO NI KIGUMU SANA KATIKA MSIBA HUO MKUBWA NA AWAPE MOYO WA UVUMILIVU

           HABARI24 BLOG IPO NA FAMILIA YA MLOWE KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU

No comments: