Thursday, October 3, 2013

NHIF YAPANIA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NCHINI

AFISAMAWASILIANO WA NHIF BW LUHENDE SINGU AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
             Mfuko wa taifa wa bima ya afya NHIF kwa kushirikiana na benk ya maendeleo ya watu wa ujerumani  umeanza rasmi nia yake ya kuwasaidia kinamama wajawazito na watoto ambapo sasa inaendesha mradi wa huduma za matibabu kwa kinamama wajwazito wasio na uwezo na watoto katika mikoa ya tanga,na mbeya .

            Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam afisa mawasiliano wa mfuko huo bw LUHENDE SINGU amesema kuwa hii ni kufwatia makubaliano yaliyofanywa kati ya serikali ya tanzania na serikali ya ujerumani ambao lengolake ni kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto nchini.

No comments: