MKURUGENZI WA TBC NDG CLEMENT MSHANA PAMOJANA VIONGOZI WENGINE WA SHIRIKAHILO WAKIZUNGUMZIA MKUTANO HUO |
Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam mkurugenzi wa TBC CLEMENT MSHANA amesema kuwa mkutanohuo unatarajiwa kufunguliwarasmi na raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania MH JAKAYA MRISHO KIKWETE huku viongozi wengine wengi kama waziri wa habari,vijana utamaduni na michezo,waziri wa maliasili na utalii pamoja na mawasiliano sayansi na technologia wakitarajiwa kuwepo.
Katika mkutano huomada mbalimbali zitajadiliwa ikiwemotechnologia ya digit na changamoto zake huku kauli mbiu ya mkutano huo ikiwa ni NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUKUZA UTALII
No comments:
Post a Comment