WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII MH HUSEIN MWINYI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI PAMOJA NA WAGANGA WA TIBA ASILI LEO JIJI DAR ES SALAAM |
Akizungumza na wanahabrio leo jijini dar es salaam amesema kuwa wagamga wa tiba asili nchi wana mchamngo mkubwa sana nchini hivyo lazima serikali iwasaidie kwa hali na mali ili waweze kuwasaidia watanzania huku akiwabeza madactari ambao wamekuwa wakisema kuwa tiba hiyo sio ya kweli kwa kusema kuwa yeye ni dactari na anachokijua kuwa dawa zote ni mitishamba hivyo haoni ajabu wa waganga hao kutumia miti shamba
Aidha amewaomba waganga hao kuacha kujihusisha na mambo ya kishirikina jambo ambalo litajenga imani zaidi kwa watanzania waliowengi juu ya tiba yao tofauti na sasa ambapo amesema kuwa kuna wachache wanaharibu tasnia hiyo kwa kujihusishja na ushirikina
No comments:
Post a Comment