Thursday, October 17, 2013

WIKI YA UMOJA WA MATAIFA KUADHIMISHWA DAR,

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA BALOZI RAJABU GAMAHA AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI NCHINI KUHUSU SIKU HIYO
        Wiki ya umoja wa mataifa ya kuadhimisha miaka 68 ya umoja huo inatarajiwa kuadhimishwa hapa nchini kuanzia leo tarehe 17 hadi 24 wiki ijayo.

          Akizungumzia siku hiyo naibu katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje tanzania balozi rajabu gamaha amesema kuwa wiki hiyo itaambatana na vitu mbalimbali ikiwemo mdahalo mkubwa juu ya maendleo ya africa utakaofanyika chuo kikuu dar es salaam katika ukumbi wa nkuruma,mambomengine ni maonyesho yatakayokuwa yamaendelea pale katika ukumbi wa karimjee.

       Aidha katika hatua nyingine umoja wa mataifa umeishukuru na kuipongeza tanzania kwa kulinda amani katika nchi mbalimbali nchini ikiwemo kongo

MRATIBU MWAKILISHI WA UMOJA WA MATAIFA ALBERIC KACOU AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI

No comments: