Tuesday, October 8, 2013

UPINZANI WATANGAZA KUSITISHA MAANDAMANO SASA KWENDA IKULU KUKUTANA NA RAISI

MWENYEKITI WA CUF AMBAYE NDIYE MWENYEKITI WA MUUNGANO HUO AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO KATIKA OFISI ZA NCCR MAGEUZI
            Muungano wa vyama vitatu vya siasa ambavyo ni CUF,CHADEMA NA NCCR mageuzi waloikuwa wameungana kwa pamoja kupinga mswada wa mabadiliko ya katiba kusainiwa na raisi leo wametangaza rasmi kusitisha harakati hizo ikiwa ni pamoja na maandamano makubwa ya nchi njima yaliyokuwa yafanyike tarehe 10 mwezi huu na kuwajhidi kwenda ikulu kukutana na raisi KIKWETE kama alivyoahidi kukutana nao hivi karibuni

         Akitangaza maamuzi hayo mwenyekiti wa muungano huo ambaye pia ni mwenyekiti wa CUF pr IBRAHIMU LIPUMBA amesema kuwa wameamua kufanya hivyo ili kupata muda wa kukutrana na mh raisi katika meza ya mazungumzo huku akimtaka raisi kuhakikisha wanakutana mapema iwezekanavyo.

MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA NAYE ALIKUWEPO

No comments: