Tuesday, December 10, 2013

HAKUNA MGAO WA UMEME TANZANIA KWA SASA---TANESCO

AFISA UHUSINO WA SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO  BADRA MASOUD AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM,AMBAPO SUALA KUNBWA AMBALO AMELIZUNGUMZIA NI KUHUSIANA NA MATATIZO YA MGAO WA UMEME NCHINI AMBAPO AMESEMA KUWA KWA SASA NCHINI HAKUNA MGAO WA UMEME HATA SEHEMU MOJA KAMA INAVYOELEZWA NA BAADHI YA WATU,AMESEMA KUWA KAMA ENEO LAKO HALINA UMEME BASI UJUE SIO MGAO BALI NI MATATIZO YA KIUFUNDI JAMBO AMBALO AMESEMA KUWA LINATATULIKA NA KUSEMA KUWA HALI YA UMEME KWA SASA NCHINI NI SWARI KABISA

No comments: