HIVI NDIVYO WAPENZI WA SIMBA WALIVYOMPOKEA KOCHA MPYA ALIYERITHI MIKOBA YA KIBADENI MTAA KLABU YA SIMBA SC.
Kocha huyo akikabidhiwa taji la maua na mashabiki baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar leo.
Akipata menu.....
Kocha huyo akiongozana na baadhi ya viongozi wa Simba wakati
alipotembelea na kukagua uwanja wa mazoezi wa Klabu hiyo wa Kinesi.Picha
kwa Hisani ya Lenzi ya Michezo Mashabiki wa Timu ya Simba, wakimpokea kwa shangwe na nderemo, kocha wao mpya aliyetua nchini jana machana.
No comments:
Post a Comment