KLABU ya Yanga SC ya Dar es Salaam imemsajili
mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Emmanuel Arnold Okwi raia wa Uganda
kwa Mkataba wa mia miwili na nusu. Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya klabu ya Yanga,
Abdallah Ahmed Bin Kleb amesema jioni hii mjini Dar es Salaam kwamba
wamemsajili Okwi na ataanza kuichezea timu hiyo mzunguko wa pili wa Ligi
Kuu ya Bara na michuano ya Afrika.
|
No comments:
Post a Comment