Monday, December 16, 2013

CLABU YA SIMBA HAKUKALIKI, MASHABIKI WAJIANDAA KUVAMIA KLABU YA YANGA, WATAKA KULIPA KWENDA KUMNYOFOA EMMANUELI OKWI, WADAI AMEWASALITIU

UMATI MKUBWA WA MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA WAKIWA KATIKA JENGO LA KLABU YAO WAKIJIANDAA KWENDA KATIKA KLABU YA YANGA KWENDA KUMCHUKUA MCHEZAJI WAO WA ZAMANI ALIYESAJIRIWA NA YANGA KATIKA DIRISHA DOGO, bW eMMANUEL OKWI. MASHABIKI HAO WANATAKA WAELEZWE SABABU ZA KUUZWA MCHEZAJI HUYO WAKATI WAO BADO HAWAJAPATA FEDHA ZAO  WALIZOMUUZA MCHHEZAJI HUYO HUKO TUNISIA.

HAPA WAKIWA WANAJADILIANA BILA KUPATA MAJIBU YA UHAKIKA, HATA HIVYO MASHABIKI HAO WAMEISHIA KUPIGA DOMO HUKU MCHEZAJI HUYO AKITAMBULISHA LEO HII KATIKA KLABU YA YANGA

HAPA WAKIMTAZAMA MWANDISHI MWANDAMIZI WA FULLHABARI WAKATI AKIWAHOJI WASHABIKI HAO NI KWANINI WAPO HAPO NA SULUHISHO LAO NI NINI HASA.MASHABIKI WAMESEMA HAWALI MPAKA KIELEWEKE NA KWAMBA RAGE ATAWAJUA WAO KAMA NI MASHABIKI AMA WANACHAMA WANAOTAMBULIKA KISHERIA, WAMESMA KUWU UZEMBE WA MWENYEKITI UMEWAFANYA WAKOSE YOTE KUANZIA MCHEZAJI JUMA KASEJA NA WA SASA BW. EMMANUEL OKWII,

HAPA WAKIFAFANUA KWA HISIA, WANACHAMA HAO WAMESEMA RAGE HAIFANYII FAIR KLABU YAO NA NDIO MAANA WACHEZAJI WOTE MUHIMU WANAONDOKA KUELEKEA KLABU PINZANI

ULIKUWA MSHIKESHIKE WA AINA YAKE BAADA YA WALE WANAOJIITA KUW AWANACHAMA WENYE HASIRA KALI KUVAMIA JENGO LA KLABU HIYO NA KUPIGA KAMBI YA MUDA AWAKITAKA MWENYEKITI WAO NA WAO WENYEWE WAANDAMANE WAENDE KLABU YA YANGA KUUMCHUKUA MCHEZJI WAO, MPAKA TUNAKWENDA MITAMBONI WANACHAMA HAO HAWAJAONYESHA DALILI ZAKWENDA KLABU YA YANGA KUDAI MCHEZAJI WAO

No comments: