Thursday, December 5, 2013

MAANDAMANO MAKUBWA YAFANYIKA DAR.NI YA KIPINGA UKATILI WA KIJINSIA,TUMIA MUDA WAKO SASA KUTIZAMA KILICHOJIRI

WAENDESHA BODA BODA WAKIWA KATIKA MAANDAMANO YALIYOANDALIWA NA JEESHI LA POLISI WILAYA YA ILALA KATIKA SIKU YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA AMBAPO IMEHITIMISHA SIKU 16 AMBAPO SIKU HIYO IMEADHIMISHWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA UWANJA WA MNAZI MMOJA


WANAFUNZI NAO HAWAKUWA NYUMA KATIKA KUONYESHA MAMBO MBALIMBALI AMBAYO WANAYAPINGA KATIKA UKATILI WA KIJINSIA



WANANCHI MBALIMBALI NAO WALIUNGANA NA JESHI LA POLISI KATIKA KUADHIMISHA SIKU HIYO


MGENI RASMI KATIKA SHUGHULI HIYO ALIKUWA MKUU WA WILAYA YA ILALA MH RAYMOND MUSHI WA PILI KUSHOTO HAPO AKIPOKEA MAANDAMANO HAYO

MWISHO SIKU HIYO ILIHITIMISHWA KWA MKUU WA WILAYA YA ILALA KUFUNGUA DAWATI MAALUM AMBALO LIPO KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR ES SALAAM AMBALO KAZI YAKE NI KUSIKILIZA KESI ZOTE ZA UKATILI WA KIJINSIA NA KUZITOLEA UAMUZI

No comments: