...Kampuni
inayoleta pamoja ubunifu na malengo kwa kuwa pekee kuzinduliwa bila jina.
Sekta ya mawasiliano ya
simu Tanzania na Afrika Mashariki leo imepata matumaini mapya kufuatia kuingia
kwa kampuni mpya ya simu ya kipekee, ya ubunifu, yenye kwa jamii, na yenye
ushindani kuliko zote, kuzinduliwa bila jina.
Pamoja na ahadi yake ya kuongeza
idadi ya watumiaji wa mawasiliano ya mtandao wa simu, kampuni hiyo mpya kwa
wakati mmoja imezindua pia kampeni ya kiubunifu inayotambulika kwa jina la
“Tupe Jina” itakayofanyika kwa njia ya mtandao na ujumbe mfupi katika simu kwa
lengo la kuipa fursa Afrika Mashariki kuichagulia jina bora kampuni hii kwa kupiga
kura.
Hii ni kampuni ya kwanza ya simu Afrika
Mashariki ambayo kweli inajali na haigopi kuamini watu, na hakuna kampuni
nyingine inaweza kuthubutu kufanya hivyo. Hakuna kampuni yoyote duniani
iliyoweza kuzinduliwa bila jina na kutoa jukwaa kwa kampeni ya kusisimua ya
siku 10 kabla ya jina kuwekwa hadharani.
“Tupe Jina” ni kampeni
itakayoanza Novemba 25, 2013 hadi 4 Desemba 2013 kwa awamu mbili katika
mtandao, ujumbe wa simu na mtandao wa kijamii wa facebook. Katika awamu ya
kwanza, Afrika Mashariki inapaswa kuteua majina ambayo wanapenda hii kampuni
mpya iitwe.
Mshirki anaweza kuchagua
jina kwa kuingia katika mtandao wa Unaweza kuteua jina kwa njia ya magogo
kwenye mtandao wa www.giveusaname.net
au kutuma ujumbe wa simu ukiambatanishwa na jina analopendekeza kwenda namba
15678 au aingie katika mtandao wa www.facebook.com/giveusaname. Katika awamu ya pili ya kampeni, jopo litatathmini
majina yote na itatoa majina matano ambayo yamependekezwa mara nyingi zaidi, ya
kipekee na yenye ubunifu.
Baada ya hapo Afrika Mashariki watapiga kura
kwa ajili ya kupata jina bora moja ambalo hatimaye litakuwa jina la kwanza la
kampuni hii ya mawasiliano ya simu ambayo daima itakuwa ya kwanza ya Kiafrika
Mashariki. Mshindi katika kampeni hii, mtu ambaye atakuwa amechagua jina ambalo
hatimaye litakuwa la kampuni atajishindia muda wa bure wa kupiga simu za ndani
na SMS bure kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Zawadi zingine zitakuwa
simu za kisasa za ‘smartphone’ na kompyuta za kiganjani (tablets) kwa washiriki
wa kampeni hii ya “Tupe Jina”. Kwa muitikio wa Afrika mpya, balozi wa jina hilo
ambaye ni mchekeshaji Bw Hemedi Khalida
“Mkwere” atasherehekewa, ambaye amesimama katika mstari wake kwa kipindi cha
television cha “Mizengwe” ambacho kinapata kasi kila siku.
Kutokana na wataalam
kutabiri kuongezeka kwa pato la taifa la Tanzania kutoka asilimia 4 hivi sasa
hadi asilimia 7 mwaka 2015, sekta ya mawasiliano ina nafasi kubwa ya katika ukuaji
wa uchumi katika miaka ijayo na kampuni hii mpya ya mawasiliano ya inawakilisha
sura ya kasi hii kubwa ya ukuaji.
Tanzania inabaki kuwa ni
moja ya nchi zenye kiwango cha kuingiza simu chini ya asilimia 50 kufikia Juni
2013, jumla ya matumizi ya mawasiliano ya simu nchini humo ni chini ya wastani
kwa nchi za Afrika.
Hii kampuni mpya ya simu
kwa umuhimu mkubwa itawekeza kiasi kikubwa cha fedha kutoka kwa wateja wake kwa
ajili ya maendeleo ya muda mrefu kwa watu wa Uganda katika sekta ya afya na
hasa katika tiba za kimtandao na vituo vya elimu ya masafa.
Hii tafsiri yake ni kwamba
kuwekeza idadi kubwa ya faida katika kuwezesha Afrika Mpya kuzingatia
ongezeko la watumiaji wa mawasiliano ya simu, na zawadi bora ambayo kampuni hii
inatarajia katika miaka ijayo ni kukuza sekta ya afya.
Kampeni ya “Tupe Jina”
itaisha Desemba 4 baada hapo wananchi wa Tanzania watapata nafasi ya kupeleka
namba zao wanazopendekeza kabla ya kutangazwa na kuwekwa hadharani kwa jina la
kampuni.
-Mwisho-
No comments:
Post a Comment