Friday, December 6, 2013

UKATILI WA KIJINSIA,OXFAM KUADHIMISHA KWA AINA YAKE,SOMA ZAIDI HAPA

MENEJA WA MAMBO YA JINSIA WA SHIRIKA LA OXFAM TANZANIA FURAHA KIMARO AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM KUHUSU MADHIMISHO HAYO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KWA KINA MAMA NA WATOTO AMBAZO TANZANIA ZIMEAZIMISHWA NA MASHIRIKA MBALIMBALI .KATIKA MKUTANO HUO SHIRIKA HILO LA OZFAM LIMETANGAZA KUFANYA MAMBO MBALIMBALI KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI AMBAPO AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI JIJINI DAR ES SALAAM MENEJA HUYO WA JINSIA WA OXFAM AMESEMA KUWA SHIRIKA LAKE LIMEFANIKIWA KUFANYA MAKONGAMANO MBALIMBALI KATIKA MIKUTANO MBALIMBALI KATIKA MIKOA MBALIMBALI IKIWEMO MWANZA,ARUSHA NA DODOMA,AMBAPO WATAMALIZIA NA DAR ES SALAAM AMBAPO WANAWAKUTANISHA WANAFUNZI WA VYUO NA SHULE MBALIMBALI KWA LENGO LA KUWAPA ELIMU JUU YA UKATILI WA KIJINSIA NA HASARA ZAKE.AIDHA AMESENMA KUWA KATIKA MIKUTANO NA MAKONGAMANO YALIYOFANYIKA KATIKA MIKOA ILIYOTAJWA HAPO JUU ILIFANYIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA SANA JAMBO AMBALO AMWELIPONGEZA NA KUWAOMBA WATANZANIA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA KONGAMANO LIATAKALOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KATIKA UKUMBI WA NKURUMA SIKU YA JUMAMOSI YANI KESHO AMBAPOM  ITAONYESHWA PIA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA TBC KUANZIA SAA NANE MCHANA 


 
MENEJA MAHWASILIANO WA OXFAM TANZANIA SHARON MARIWA AKIZUNGUMZA PIA KATIKA MKUTANO HUO.AMBAPO PIA SHIRIKA HILO LIMETANGAZA KUZINDUA WIMBO MPYA KABISA ULIOIMBWA NA WASANII MAARUFU NCHINI KATIKA MIONDOKO YA TAARABU MZEE YUSUPH NA KHADIJA KOPA WIMBO UTAKAOZINDULIWA JUMAPILI YA TAREHE NANE KATIKA UKUMBI WA DAR LIVE .WIMBO AMBAO AMESEMA KUWA UTATUMIKA KUWAPA WATU ELIMU JUU YA UKATILI WA KIJINSIA AMBAPO WATANZANIA WOTE WANAKARIBISHWA SIKU HIYO

No comments: