Theophil Makunga.
Absalom Kibanda.
Samson Mwigamba.
MAHAKAMA
ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi ya
makala iliyodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja
Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL),
Theophil Makunga, Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson
Mwigamba na aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima
ambaye sasa ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006),
Absalom Kibanda ambapo wameibuka kidedea baada ya ushahidi upande wa
mashitaka kutojitosheleza.
No comments:
Post a Comment