Tuesday, January 14, 2014

PICHA MBAYA ZA AJALI YA BASI LA NA LORI HUKO SINGIDA JANA



4

        Taarifa inasema abiria 28 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa kwenye ajali ya hili basi la Shabiby baada ya kugongana na lori la mafuta lililokua tupu hivyo kupinduka kwenye kijiji cha Kisaki kwenye barabara kuu kutoka Singida kwenda Dodoma.

       Taarifa zimethibitishwa na mkuu wa Wilaya ya Singida na kwamba dereva wa basi alikimbia baada ya ajali kutokea saa sita na dakika 50 mchana.

3
2
1

No comments: