naibu waziri wa fedha Bw Mwigulu Nchemba ambae ametinga kula kiapo na jezi za Taifa
VIOJA
mbali mbali vimejitokeza wakati wa mawaziri wateule wa Rais Dr Jakaya
Kikwete wakila kiapo baada ya naibu waziri wa elimu na mafunzo ya
ufundi mbunge wa Peramiho mkoani Ruvuma Jenista Mhagama kulazimika
kula kiapo kurudia kiapo mara tatu tofauti na wenzake ambao
waliapa mara mbili kutokana na naibu waziri huyo kuchemka mara ya
kwanza mbele ya Kikwete .
Mbali ya Mhagama kuchemka na kuingia
katika rekodi ya kurudia kiapo mara tatu pia naibu katubu mkuu wa CCM
ambae ni naibu waziri wa fedha Bw Nchemba yeye alitinga katika viwanja
hivyo huku akiwa kawaida na jezi za timu ya Taifa tofauti na wengine
ambao walifika wakiwa wameulamba suti vikali .
Hata hivyo wapembuzi wa mambo
wanadai kuwa kuchemka kwa Mhagama katika zoezi hilo ni kutokana na
kutokuwa na imani kama angeteuliwa kuingia kushika nafasi hiyo nyeti
na unaibu uwaziri
|
No comments:
Post a Comment