BREAKING NEWZZ---WATU SITA WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA KIFUSI HUKO KARATU
Watu sita wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na machimbo ya moram hapa wilayani Karatu.
Machimbo hayo yako karibu na shule ya Sekondari Mlimani. Hali ni tete ni majonzi kila kona.
No comments:
Post a Comment