Thursday, February 6, 2014

HABARI ILIYOTIKISA NCHI LEO,MBUNGE LEMA ATIWA MBARONI



           MBUNGE wa Arusha Mjini Bwana Godless Lema amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha.
      
       Habari za kuamini,ambazo zimethibitishwa na Mkurugenzi wa mafunzo na Orgaizesheni, Bensoni Kagaila singo wakati alipokuwa anazungumza na Mwandishi wa mtandao,ambapo alithibitisha kukamatwa kwake.
      
       “Ni kweli tumepata taharifa kutoka Arusha zinazosema Mbunge Godless Lema amekamatwa na Polisi mkoani arusha na sasa hivi tuko katika mawasiliano na viongozi wa juu wa Chadema tujue njia ya kufanya”alisema Kigaira

No comments: