Saturday, February 15, 2014

HABARI MPYA---HUYU NDIYE MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KWENYE JIMBO LA MAREHEMU MGIMWA,MBOWE AMTANGAZA MUDA HUU,


MGOMBEA WA UBUNGE KATIKA JIMBO LA KALENGA KWA TIKETI YA CHADEMA BI GRACE TENDEGA AMBAYE AMETANGAZWA NA CHAMA CHAKE KUGOMBEA BAADA YA JIMBO LA KALENGA KUWA WAZI BAADA YA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO HILO MH WILLIAM MGIMWA KUFARIKI DUNIA MAPEMA MWAKA HUU.
MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO CHADEMA MH FREMAN MBOWE AKIMTAMBULISHA MGOMBEA HUYO MBELA YA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM.TAARIFA ZAIDI KUHUSU MKUTANO WA MBOWE NA WANAHABARI LEO ZITAKUJIA HIVI BAADAE  ENDELEA KUWA NASI

No comments: