Posho kwa siku kwa
kila mjumbe wa Bunge la Katiba ni sh 700,000 kwa siku kwa muda wa siku
70 maana yake ni kuwa kila mjumbe atalipwa milioni 49!
Aidha, sheria inawaruhusu kuongeza siku nyingine 20 na kufanya jumla ya
siku 90. Kitendo hicho kitapelekea kila mjumbe kujipatia kitita cha Sh.
milioni 63.
Inadaiwa kiasi hicho cha posho kilipendekezwa kwa wajumbe hao kwa vile hawana mishahara, wala magari na nyumba kama ilivyokuwa kwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba au wabunge ambao wana mishahara, posho, mafuta ya magari na mikopo!
CHANZO: Tanzania Daima

No comments:
Post a Comment